Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola (Mb), akizungumza na Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji kabla ya kufungua rasmi Kikao cha Makamanda wa Jeshi hilo katika ukumbi wa Bwaro la FFU, Jijini Dodoma.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, CGF Thobias Andengenye, canlı casino mersin escort canlı casino sincan escort mersin escort canlı bahis akisoma hotuba ya kumkaribisha Mgeni rasmi Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb), katika Kikao cha Makamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, katika ukumbi wa Bwaro la FFu, Jijini Dodoma.

Baadhi ya Makamanda wa Mikoa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakimsikiliza, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb), wakati akizungumza kabla ya kufungua rasmi Kikao cha Makamanda wa Jeshi hilo katika ukumbi wa Bwaro la FFU, Jijini bedava bonus adana escort mersin escort canlı bahis sitesi bedava bonus 1xbet bedava bonus veren bahis siteleri deneme bonusu Dodoma.

Kamishna wa Operesheni wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage akimshukuru Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb), mara baada ya kufungua rasmi Kikao cha Makamanda wa Jeshi hilo katika ukumbi wa Bwaro la FFU, Jijini Dodoma.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Kangi Lugola (Mb), akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Wilaya wa Dodoma Patrobas Katambi (watatu kulia), Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ramadhani Kailima (wapili kulia), Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye (wapili kushoto), Makamishna na Makamanda wa Mikoa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, mara baada kufungua rasmi Kikao cha Makamanda wa Jeshi hilo katika ukumbi wa Bwaro la FFU, Jijini Dodoma (Picha zote na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA-JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

Share this post on: