Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola, akizungumza wakati wa Kikao na Maafisa na Askari wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji. Katikati ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye na kushoto ni Kamishna wa Usalama dhidi ya moto, Jesuald Ikonko. Kikao hicho kimefanyika Makao Makuu ya Jeshi la Zimamoto na Uokoaji jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye, akimfafanulia jambo Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola ambaye alitembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam na kufanya kikao kilichowashirikisha Maofisa na Askari (hawapo pichani). Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Kamishna wa Operesheni Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Billy Mwakatage, akiwasilisha taarifa ya shughuli za Jeshi hilo mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (wapili kulia), wakati wa ziara ya waziri alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Kamishna wa Usalama dhidi ya moto, Jesuald Ikonko, akiwasilisha taarifa ya shughuli za Jeshi hilo mbele ya Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia), wakati wa ziara ya waziri alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam. Katikati ni Kamishna pornhub.com, xhamster, xnxx Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Maafisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wakimsikiliza Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (hayupo pichani), wakati wa ziara ya waziri kutembelea Jeshi hilo, jijini Dar es Salaam. Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

Share this post on: