Mkaguzi Msaidizi wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, (A/ISNP) Frank Meshack akionesha namna kifaa maalumu cha kung’amua moto kinavyofanya kazi (Smoke Detector) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ufungaji wa mifumo ya kugundua na kung’amua moto katika hatua ya awali mashuleni iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa International Labour Organization (ILO) jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo deneme bonusu bedava bonus veren bahis siteleri bedava bonus veren bahis siteleri 1xbet giriş ilihudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Wakurugenzi wa Wilaya ya Kahama, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote wa jiji la Dar es Salaam, Maafisa Waandamizi wa Makao Makuu pamoja na Makamanda wa Mikoa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es Salaam. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Kahama, Fadhili Nkurlu.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, akijibu maswali ya waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ufungaji wa mifumo ya kugundua na kung’amua moto katika hatua ya awali mashuleni iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa International Labour Organization (ILO) jijini Dar es Salaam. Hafla hiyo ilihudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Wakurugenzi wa Wilaya ya Kahama, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote wa jiji la Dar es Salaam, Maafisa Waandamizi wa Makao Makuu pamoja na Makamanda wa Mikoa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es Salaam.

Sehemu ya Wakurugenzi wa Wilaya ya Kahama, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote wa jiji la Dar es Salaam, Maafisa Waandamizi wa Makao Makuu, Makamanda wa Mikoa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na waandishi wa habari wakifuatilia uwasilishwaji wa namna ya ufungaji wa mifumo ya kugundua na kung’amua moto katika hatua ya awali mashuleni. Hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa International Labour Organization (ILO) jijini Dar es Salaam, hafla hiyo ilihudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya Kahama na Wakurugenzi wa Wilaya ya Kahama, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote wa jiji la Dar es Salaam, Maafisa Waandamizi wa Makao Makuu pamoja na Makamanda wa Mikoa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es Salaam.

Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Thobias Andengenye, akitoa neno la shukurani kwa Mkuu wa Wilaya ya Kahama (mwenye suti), Wakurugenzi wa Wilaya ya Kahama, Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wote wa jiji la Dar es Salaam, Maafisa Waandamizi wa Makao Makuu, Makamanda wa Mikoa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Dar es Salaam pamoja na waandishi wa habari (hawapo pichani) kwa kuhudhuria hafla ya uzinduzi wa Kampeni ya ufungaji wa mifumo ya kugundua na kung’amua moto katika hatua ya awali mashuleni iliyofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa International Labour Organization (ILO) jijini Dar es Salaam. (Picha na Jeshi la Zimamoto na Uokoaji)

IMEANDALIWA NA KITENGO CHA HABARI NA ELIMU KWA UMMA – JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI

Share this post on: